
TANESCO yatangaza kufanya maboresho kituo cha umeme …
Dar es Salaam, 19 Februari 2025 - Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza mpango wa maboresho katika Kituo cha Kupokea, Kupooza, na Kusambaza Umeme cha Msongo wa Kilovoti 220 kilichopo Ubungo, Dar es Salaam. Maboresho haya yanatarajiwa kuanza Jumamosi, tarehe 22 hadi 28 Februari 2025.
Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam
Oct 6, 2024 · Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam. Thread starter Jackson QUECA; Start date ...
Kinana atoa wito kwa Watanzania kuchangamkia fursa ya
Dec 9, 2018 · Watanzania wametakiwa kuchangamkia fursa za kibiashara kwa kuchukua mapema maeneo ya kufanyia biashara kwenye mradi wa kituo cha biashara cha Kimataifa kinachojengwa eneo la Ubungo ilipokuwa stendi Kuu ya Mkoa wa Dar es Salaam ambao unatarajiwa kukamilika mwaka huu 2024 katikati. Wito huo...
Dar: RC Chalamila amevunja Uongozi wa Soko la Mabibo na
Aug 18, 2023 · Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo August 17, 2023 amevunja uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi soko hilo kwa Manispaa ya Ubungo. Soko hilo lililokuwa likimilikiwa na kikundi cha watu wachache nakupelekea kuwepo kwa changamoto mbalimbali ambazo Mkuu wa Wilaya Mhe.
Serikali imekamilisha ujenzi wa kituo Cha kibiashara na usafirishaji ...
Mar 7, 2025 · Serikali imekamilisha ujenzi wa mradi wa kituo kikubwa Cha kibiashara na usafirishaji cha Afrika Mashariki kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam. Akizungumza Leo Machi 7, 2025 na waandishi wa Habari Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. @lazarotwange amesema kituo hicho...
Ubungo miongoni mwa halmashauri bora 17 Tanzania
Mar 9, 2015 · Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Imeandika Mradi Ufufuaji wa Mradi mkakati wa Soko Kubwa la Kisasa katika Soko la Mburahati,Ambapo Ujenzi huo wa Mradi ukipatiwa fedha utasababisha Manispaa ya Ubungo kujitegemea kujiendesha bila kutegemea ruzukuvya serikali kuu ifikapo 2025.pamoja na kuwa Chanzo kikuu cha Mapato na …
UBUNGO: Rais Magufuli afungua daraja la juu la Kijazi (Kijazi ...
Feb 24, 2021 · Rais Magufuli amewasili Ubungo tayari kabisa kufungua barabara za juu. Barabara imeshafunguliwa rasmi na kupewa jina la Daraja la Juu la Kijazi. Injinia Godfrey Kasekenya, Naibu waziri wa ujenzi: Nashukuru kukubali mwaliko wetu wa kuwa mgeni Rasmi. Umekubali kutenga muda wako kuja kujumuika nasi katika shughuli hii.
Ubungo Riverside na biashara ya ukahaba mpaka lini?
Jun 14, 2011 · Inasiikitisha kuona eneo la Ubungo riverside kukizidi kukua na kushamiri biashara ya ukahaba tena mapema yaani kuanzia mida ya kumi na moja jioni. Mbaya zaidi watoto wadogo Na wanafunzi ndo unakuta wanapita hapo kutoka mashuleni ambapo kukutana na hawa dada zao Na wengine wakiwa ni sawa na mama zao wamejipanga barabarani wakisubiri wateja ...
Barabara ya Mwendokasi kutoka Maktaba hadi Tegeta kuanza …
Jun 30, 2023 · 1. Mkataba wa kwanza ni Km 13 kutoka Maktaba hadi Mwenge then inakata Kona hadi Ubungo kupitia barabara ya Sam Njuma 2. Mkataba wa pili ni Ujenzi wa barabara ya Mwendokasi kutoka Mwenge hadi Tegeta km 15. 63. 3. Mkataba wa tatu ni kwamba pale Mbuyuni kutajengwa kituo, Simu 200 patajengwa kituo na Kivukoni Terminal watajenga kituo hizi ni Depot.
NIDA Ubungo: Wafanyakazi wabuni biashara ya kukodisha Kanga …
Feb 20, 2025 · Ofisi ya Nida ubungo wameanzisha biashara nyuma ya zoezi la ugawaji wa vitambulisho linaloendelea. - Wafanyakazi wa getini wamekuwa wakitoza elfu moja moja ya kanga kwa wanawake ambao wamekuja wakiwa wamevaa suruali za jeans au nguo ya kata mikono. Unapofika tu getini kuuliza, kama umevaa...