
Waimbaji wa Nyimbo za Dini za Zamani Walikuwa na Ujumbe …
Jul 18, 2018 · Ebu vuta picha, unasikiliza nyimbo kutoka AIC Kambarage Vijana Choir. Mchana unaweka albamu ya nyimbo za Tabata Mennonite Choir na usiku mkiwa mnakula unasikiliza nyimbo za Mtoni Evangelical Choir na sauti ya kipekee ya Marehemu George Njabili. Hawa walikuwa wakitendea haki ujumbe wa Wakolosai 3:16 …
Nyimbo za Tenzi za Rohoni kwa namba na jina - JamiiForums
Oct 17, 2010 · Uzuri wa hizi nyimbo zinaeleweka na kila mtu anazijua kama anahudhuria shughuli za Makanisani. Hizi nyimbo za tenzi za rohoni zina namba. Watu watu wanaoenda kanisani mara kwa mara ukimuimbia msitali mmoja tu anakuwa kashajua namba ya wimbo, kama ana kitabu atakufunulia au atakuimbia verse zote.
Top 5 ya nyimbo za kumuombeleza Magufuli - JamiiForums
Dec 19, 2018 · Hizi nyimbo tano ndio zimekua bora kabisa kwangu zimetufariji sana kipindi cha maombolezo ya mpendwa wetu shujaa wa Afrika,jembe John Pombe Magufuli. 1.Bye Bye-Aslay hii kali sana anavyoanza na ile mwana chatoo ehhh,mwana chato eeehhhh wasalimie nyerere na karume,sefu kufa usifiwe,ishi uzomeweeeeee 2.Ahsante Magufuli-Konde Gang
Mfahamu mtunzi mahiri was nyimbo za kikatoliki marehemu
Dec 26, 2012 · John Mgandu alikuwa mtunzi hodari wa nyimbo za kikatoliki. Binafsi ni mpenzi mkubwa wa nyimbo zilizotungwa na John Mgandu. Ifuatayo ni orodha ya midi za nyimbo zilizo tungwa na John Mgandu. Songs by John Mgandu----SALUTE COMRADE kwa wale wapenzi/walimu au wanafunzi wa Muziki wa kikatiliki baasi jina …
Wasanii wa nyimbo za Injili acheni kumpigia Mungu kelele
Dec 25, 2024 · Kwa kutenda hayo, tambueni leo kwamba nyimbo zenu ni kelele mbele za Mungu, na wala hataki kusikia sauti za vinanda vyenu. Amosi 5:23 SRUV Niondoleeni kelele za nyimbo zenu; kwa maana sitaki kuzisikia sauti za vinanda vyenu. Basi, tubuni, mkamrudie Mungu ili yeye afute dhambi zenu, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kutoka kwake Bwana(Matendo ...
Ukisafiri kwa V8 au hata kwa basi huku unasikiliza nyimbo za CCM ...
Oct 5, 2013 · relax gentleman, dawa ya mihemko na makasiriko yako ni nyimbo bora na nzuri sana za ccm. sikiliza ule wimbo wa wacha waisomenamba ee ccm mbele kwa mbele, na utakua umepona kabisa mihemko yako :pedroP: Ndani ya Hilo fuvu umewekewa hasara tupu.
Majizzo ataja Playlist ya nyimbo zake bora mwaka 2024
May 16, 2024 · mfano sasahivi napenda sana nyimbo za aaliyyah yule mwanadada mmarekani aliefariki kitambo!, naweza sema mwaka huu yeye ndio nimesikiliza nyimbo zake zaidi kushinda msanii yoyote kwa mwaka huu!. View attachment 3189361 wimbo kama huu nani atakuelewa kwamba ni wimbo mzuri!, lakini kaka wa watu ndo inanilaza hiyo!..🤣
Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani
Feb 29, 2012 · Habari wadau, kila kukicha wasanii wa bongo fleva wanaongezeka lakini hakuna cha maana wanachoimba zaidi ya kukopiana nyimbo, hebu tujikumbushe nyimbo za Bongo Fleva zilizotamba kipindi hiko. Mimi za kwangu ni hizi, Kamanda ya Daz Nundaz, Mtazamo ya Afande,Lover boy- Chege, Salome ya Dully. Karibuni tuendelee wadau
Naombeni Nyimbo Hizi - JamiiForums
Mar 4, 2025 · Wakuu Habari za Uzima, Naombeni Mnisaidie Audio za Nyimbo hizi, Hizi Nyimbo Nilikuwa Napenda Kuzisikiliza Kabla Sijapata Hearing Loss "Usikivu Hafifu" Najua Kwasasa Nitafaidi Midundo tuu ila sio Mbaya. Nyimbo Zenyewe ni 1. Wanaume Tumeumbwa Mateso 2. Kwetu Pazuri - Ambassador Choir 3. Lulu, Yesu Nipeleke …
nyimbo za zamani - JamiiForums
Feb 15, 2025 · Radio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD. Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata...