
What does msongo mean? - Definitions.net
Information and translations of msongo in the most comprehensive dictionary definitions resource on the web.
Njia Sita (6) Za Kukabiliana Na Msongo Wa Mawazo.
Jan 8, 2016 · Zifuatazo ni njia sita za kukabiliana na msongo wa mawazo; 1. Usingizi Usingizi ni dawa kwa binadamu unatibu mambo mbalimbali katika mwili wako. Unapokuwa umepatwa na msongo wa mawazo unashauriwa kulala usingizi unapolala unaipa akili na mwili wako kupumzika.
msongo in English - Swahili-English Dictionary | Glosbe
Check 'msongo' translations into English. Look through examples of msongo translation in sentences, listen to pronunciation and learn grammar.
Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au …
Nov 9, 2006 · Jambo la kufurahisha ni kuwa msongo wa mawazi unaepukika, leo nimechambua baadhi ya mambo ambayo yanaweza kukuwezesha kuepuka kupata msongo wa mawazo. 1. Usiweke Malengo ambayo Hayafikiki. Kila mtu ana uwezo na vipawa vyake tofauti na mtu mwingine, unapoweka malengo yako hakikisha unazingatia uwezo, vipawa na muda ulionao ili kuweza kuyafanikisha.
MSONGO - Translation in English - bab.la
Translation for 'msongo' in the free Swahili-English dictionary and many other English translations.
msongo - Wiktionary, the free dictionary
Categories: Swahili terms prefixed with m- Swahili terms suffixed with -o Swahili terms with audio pronunciation Swahili lemmas Swahili nouns Swahili class III nouns
ZIFAHAMU MBINU ZA KUUSHINDA MSONGO WA MAWAZO
Oct 15, 2017 · Labda kabla sijaendelea mbali ni bora ukafahamu kwa ufupi nini madhara ya msongo wa mawazo ili uweze kuuepuka. Nimeandika makala nzima ya kuhusu athari hizi kwa undani, waweza kusoma kupitia kitabu changu cha kwanza “Jitambue Kisaikolojia” au kwa kuingia kwenye tovuti yangu www.chrismauki.com.
Msongo Wa Mawazo; Visababishi Na Dalili Za Msongo Wa Mawazo
Msongo wa mawazo hukusaidia kukabiliana na vikwazo mbalimbali. Utakuwa makini sana wakati unawasilisha mada mbele ya kadamnasi, utakuwa na umakini zaidi wakati unashiriki kwenye mechi na timu pinzani na utasukumwa kwenda kusoma ili ujiandae kwa mitihani yako badala ya kuangalia kipindi kizuri cha kwenye luninga unachokipenda.
Yajue Mambo 5 Muhimu Kuhusu Msongo Wa Mawazo (Sonona).
Aug 5, 2023 · Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku. Msongo wa mawazo hujulikana kwa kitaalamu kama Depression.
Msongo| ULY CLINIC
Msongo ni mchakato wa mwili kupoteza uwezo wa kubadilika ili kukabiliana na mabadiliko ya hali au mazingira, kiasi cha kupelekea mabadiliko ya kisaikolojia na kibiologia yanayochangia kusababisha magonjwa.