
Matumizi ya mbegu za mbarika (mnyonyo) kiafya - JamiiForums
Oct 30, 2007 · Mnyonyo (KiSwahili) Erand (KiHindi) Kastorka (KiRusi) ni mmea wa jamii ya Mbono Kaburi, kwa jina la kitaalamu Japtropha - nitauzungumzia siku zijazo. Baadhi ya faida za mnyonyo na mazao yake. Mbali na kuweza kutumia mnyonyo kama uzio hai, njia hii inaweza kutumika kwa wale wasio na eneo kubwa la shamba …
Tiba asili: Mbono au Mnyonyo ni mmea unaotibu magonjwa sugu
Jul 26, 2017 · Mmea wa mbono au mnyonyo unatibu majeraha , magonjwa na maradhi mbalimbali kama ifuatavyo; 1. Kuvunjika au kuumia katika mwili. 2. Ushoga - Kukoma kabisa hii tabia kwa anaependa kuacha kabisa (Onyo: Ukijitibu na ukarudia unakufa). 3. Kutibu jino au meno yaliyotoboka. 4. Uzazi na kurahisisha kuzaa. 5. Kukuza au kurefusha unywele 6.
Kwa wanao hitaji mafuta ya Mnyonyo - JamiiForums
Mar 23, 2017 · Pia huondoa chunusi na kulainisha ngozi hasa wanaojichubua kisha ngozi ikaharibika ukitumia mafuta ya mnyonyo ngozi inarudi ktk hali ya kawaida. Pia hutumika kurefusha nywele za asili na zenye dawa. Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Jinsi ninavyopunguza uzito na mafuta ya mnyonyo - JamiiForums
Oct 23, 2014 · Ili kupunguza uzito basi hutumia mafuta ya mnyonyo nakunywa kijiko kimoja kwa wiki mara mbili nalamba na ndimu na baada ya muda nakunywa maji vuguvugu. Sasa huu mziki nilianza nao jana jamani niliharisha ila haikuwa sana. Nilivyo mbishi nikaamka nao tena nikanywa tena leo aisee nimeharisha mara nyingi.
Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)
Aug 28, 2008 · Njia ya Kwanza: Kupanga Uzazi Unaweza kutumia mbegu ya mnyonyo 1 kwa ajili ya kuzuia mimba kwa muda wa mwezi mmoja . Unafanya hivi unapo maliza siku zako za hedhi ukishaoga kuwa msafi twanga mbegu 1 ya mnyonyo kisha unywe na maji utaweza kuzuia mimba isiweze kukuingia kwa muda wa mwezi mmoja utakuwa unafanya hivyo kila …
Utunzaji wa nywele za asili - JamiiForums
Jul 28, 2011 · 3. MAFUTA YA MNYONYO( CUSTOR OIL) Ni moja ya mafuta mazuri Sana Kwa nywele , yanafanya nywele kua nzito, kukua haraka na kusaidia nywele iliyonyonyoka. Pia ongeza vijiko kathaa vya mnyonyo kwenye mchanganyiko wako na tikisa vizuri 4. NDIMU Ukitaka nywele yako ing'ae Kwa mda mfupi na kukua haraka basi kwenye shampoo yako isikose ndimu.
Nauza mafuta asili ya nyonyo/ castor oil | JamiiForums
Aug 22, 2020 · [emoji259]Mafuta haya ni mafuta yanayotokana na mmea wa mnyonyo,ni mafuta yanayo endelea kutenda miujiza kwa watu wengi sana kila iitwapo leo katika suala zima la ngozi na nywele. [emoji520][emoji520][emoji520][emoji520][emoji520][emoji519][emoji519][emoji519][emoji519][emoji519] [emoji259]...
Mbegu mbili unaweza kuharisha mpaka ubongo - JamiiForums
Nov 24, 2024 · Mnyonyo unaweza pia kuwafaa watu wanaoishi na VVU (Virusi Vya UKIMWI) kwani mafuta yake ni sumu ya kuua vimelea vya magonjwa kama vile bakteria na ukungu (fungus) Kupakaza: Chukua kipande cha nguo ama kitambaa, kisha kiloweke kwenye mafuta ya mnyonyo ndipo ufunge katika kiwiko ama eneo lenye maumivu ama kidonda.
Ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga Uzazi?
Mar 15, 2015 · Habari zenu wapendwa, Naomba mnijuze ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga uzazi? Na je hua unapaka juu juu au unaingiza ndani ukeni?
Tiba asili: Mbono au Mnyonyo ni mmea unaotibu magonjwa sugu
Aug 13, 2020 · Mbegu zake zinazuia mimba..sio kurahisisha kuzaa! Unakunywa monthlyMajani ya huo mmea hutumika kwa kurahisisha mwanamke kuzaa kwa urahisi tena kwa uharaka. Kuna mengi ya kujifunza.