
Kitenge kina raha yake mwilini - HabariLeo
May 8, 2024 · Baadhi ya watu maaarufu wanaonekana wanavyotokelezea na vazi la kitenge, huku wakijipatia heshima kubwa. Mataifa yanayosifika kwa kuwa na vitenge vizuri licha ya Tanzania ni Congo DRC, Nigeria na Ghana.
Msamiati: Mavazi - eLimu
- Mavazi huvaliwa mwilini. - Yapo mavazi ya aina nyingi. 1. Rinda - kanzu ya kike pana iliyokatwa kiunoni. 2. Kikoi - hufungwa kiunoni na kuteremka hadi miguuni. 3. Buibui/baibui - vazi jeusi livaliwalo juu ya nguo nyingine. 4. Ubinda - hupitishwa baina ya mapaja. 5. Saruni - hufungwa kiunoni na kuteremka hadi miguuni. 6. Kibwebwe/mahazamu ...
Ni mshono na umbo kitenge hakina baya | Mwananchi
Jan 22, 2024 · Seleman Yusuf, fundi cherehani anayemiliki ofisi yake inayojulikana kama Ambiele Tailoring Mart iliyopo Mikocheni anasema licha ya kuwepo kwa aina nyingi ya mavazi bado kitenge kitabaki kuwa na thamani kubwa kwa mwanamke na msichana wa Tanzania.
MITINDO MIPYA NA MISHONO MBALIMBALI YA MAGAUNI NA SKETI ZA KITENGE …
Dec 22, 2014 · mitindo mipya na mishono mbalimbali ya magauni na sketi za kitenge kwa wanawake na wasichana Tunapatikana kariakoo mtaa wa Narung’ombe na Tandika Kwenye Stand ya Daladala za kwenda Gongo la mboto……
Mitindo mbalimbali ya vitenge - JamiiForums
Jan 7, 2013 · Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi muhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema wanaafrika...
Mtindo wa kitenge unavyozidi kuchanja mbuga kimataifa.?
Nov 16, 2014 · Pia katika kuongeza soko la vazi hilo kimataifa, wanawake 22 wajasiriamali kutoka mkoani Ruvuma wamepata fursa ya kuonyesha bidhaa zinazotokana na vitenge na shanga katika maonyesho ya mitindo ya kimataifa yatakayofanyika katika Jiji la Milan nchini Italia hapo mwakani.
Umejaribu mtindo wa kuchanganya vitenge - Mwananchi
Nov 9, 2014 · Katika msimu wa mitindo uliopita tumejionea mtindo wa kuchanganya vitenge ukijumuisha mavazi yenye yaliyobuniwa kwa kutumia vitambaa vyenye rangi za kuwaka. Mavazi hayo yalishamiri sana ambapo takribani wabunifu wa kimataifa na kitaifa waliweza kuonyesha umahiri wao kupita wazo hilo.
Mitindo na kitambaa: Historia ya Afrika yasimuliwa kupitia kwa mavazi …
Ila hizi sio bidhaa haswa ambazo zimewahi kutumiwa na mke wa Rais mstaafu wa Marekani au Rais wa kwanza wa Ghana. Wala si viatu, mikoba au mavazi halisi yanayobana mwili.
Mishono Ya Kisasa Ya Vitenge Kwa Wadada (Wembamba au …
Sep 13, 2024 · Mavazi ya Kila Siku: Mavazi rahisi yanayoweza kuvaliwa nyumbani au kwa matembezi ya kawaida. Mavazi ya Sherehe: Mavazi mazuri yanayofaa kwa sherehe na matukio maalum, mara nyingi yana rangi za kuvutia.
Vazi la Kitenge - YouTube
Vazi la kitenge ni moja ya mavazi yanayowatambulisha wa Afrika, kutokana na uhasilia wake. Mwandishi wetu azumgumza na mwanamitindo wa kufunga vitenge nchini...