
Kaskazini Ilitaka Kuwa Taifa Huru, Lakini Nyerere Akasema Hapana ...
Apr 11, 2024 · Kaskazini Ilikuwa Na Vigezo Vyote Vya Kuwa Taifa Wakati Tanganyika ikijiandaa kwa uhuru mwishoni mwa miaka ya 1950s, Kaskazini ilikuwa inang’ara kiuchumi na kielimu. Sehemu hii ilikuwa na maendeleo makubwa kuliko maeneo mengi ya Tanganyika, hasa kutokana na kilimo cha kahawa, biashara na ushawishi mkubwa wa wamissionary walioweka shule nyingi.
Wanachama wa CCM wanakiri wazi wazi kuwa Wasira na Makalla …
Nov 28, 2013 · Kama kuna vitu vya ovyo ambavyo vimewahi kufanywa na mwenyekiti wa CCM katika utendaji wa CCM basi huenda ni uteuzi wa Stephen Wasira kuwa makamu mwenyekiti wa CCM na Amos Makalla kuwa katibu mwenezi Wanachama wa CCM taifa. Wanachama wa CCM wengi kwa sasa wanakiri wazi wazi kuwa hao jamaa ni...
Pre GE2025 - DSM - Mwandishi wa habari, Khalifa Said
Mar 3, 2025 · Amedai kuwa kwa kufanya hivyo, chama kingeweza kukusanya fedha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi na kuhamasisha wanachama kujiandikisha. Aidha, ameonya kuwa kwa hali ilivyo sasa, CHADEMA haina ushawishi wa kulazimisha mageuzi yoyote kabla ya uchaguzi, na kwa hivyo, kauli mbiu ya "No Reform, No Election" inachanganya zaidi badala ya kusaidia.
Pre GE2025 - DSM - Mwandishi wa habari, Khalifa Said
May 17, 2023 · Ameeleza kuwa njia pekee ambayo kauli mbiu hiyo inaweza kuwa na maana ni ikiwa itachukuliwa kama mzaha. Khalifa anahoji kuwa kauli mbiu hiyo ni mwanzo mbaya kwa uongozi mpya wa CHADEMA kwa sababu inaweka lengo lisiloweza kufikiwa. Pia, amesema kuwa uongozi huo haueleweki kuhusu ushiriki wake katika uchaguzi ujao.
Tafadhali sana piga kura yako hapa: Swali: Je, unaamini kuwa Yesu …
Mar 12, 2025 · Kama unaamini kuwa Yesu yuaja upesi tafadhali piga kura yako ya NDIYO, usimuonee Yesu aibu na maneno yake. Luka 9:26 " Mtu yeyote akinionea aibu mimi na maneno yangu, Mwana wa Adamu naye atamwonea aibu atakapokuja katika utukufu wake na katika utukufu wa Baba, pamoja na malaika watakatifu."
Kuna taarifa, kwamba PSSF inahakiki watumishi na mbaya zaidi ...
Dec 8, 2019 · Wakuu jf amani ya Mungu ikawe juu yenu, nawatakia mema katika mfungo wa ramadhani/ kwaresma kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada Tajwa hapo juu. Tangu jana zimekuepo taarifa ,kwamba PSSF inahakiki watumishi na mbaya zaidi, imetangazwa kuwa huakiki ni wa siku mbili ,namanisha jana tarehe 20 to...
Pre GE2025 - Viongozi wa Dini waomba kwa Rais Samia kuwa
Jul 28, 2022 · Ndugu zangu Watanzania, Viongozi wa Dini Wameomba na kumsihi Rais Samia awapatie nafasi ya kuwa na uwakilishi Bungeni ili waweze kushiriki vyema katika kutoa michango na mawazo katika utungaji wa sheria zinazogusa masuala ya Imani . Mimi Lucas Hebel Mwashambwa napinga wazo hilo kukubaliwa na...
Hasara za kuwa baba wa kambo | Page 6 | JamiiForums
Mar 1, 2025 · 2. Umechagua kuwa mwanaume dhaifu (simp) kwa kuanza na majukumu ya baba wa kambo badala ya kuanza kuwa mume halali then baba mzazi sio mlezi wa familia. Huu ni udhaifu. 3. Umechagua kutumika kama retirement plan ya mwanamke ambaye aliharibu maisha yake kwa maamuzi yake binafsi ya kipuuzi. 4.
Pre GE2025 - DSM - Salim Kikeke kutoka BBC Swahili hadi kuwa …
May 16, 2024 · Soma, Pia: Waandishi wana njaa mnategemea wataacha kuwa makanjanja na mchawa? Walipeni muone kama watalamba miguu yenu Walipeni muone kama watalamba miguu yenu Akizungumza na waandishi wa Habari Salim Kikeke amesema moja ya usafiri utakaotumika katika safari hiyo kuelekea huko Pangani Tanga ni gari aina ya Landcruiser 4X4 zaidi ya 100.
Aliniambia ana mtoto mmoja lakini baada ya kuwa naye kwenye …
Jan 21, 2025 · Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, nipo kwenye mahusiano na mwanaume mwenye miaka 45, tulianza mahusiano mwaka jana, mambo yalikuwa vizuri tu, alinieleza kuwa alizaa na huyo mwanamke akamsaliti kwahiyo wamebaki kulea mtoto. Sasa mwaka huu kuna siku nikaona amepost watoto status, watoto...