
Jinsi ya kutibu tatizo la nguvu za kiume - JamiiForums
Jun 19, 2024 · Kuna tiba kadhaa za asili zinazoweza kusaidia kuboresha tatizo la uume, lakini ni muhimu kushauriana na mtoa huduma ya afya kabla ya kujaribu matibabu yoyote mapya. Baadhi ya tiba zinazowezekana za nyumbani ni pamoja na: 1. Kula lishe bora yenye matunda, mboga mboga, nafaka nzima na protini...
Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au …
Nov 9, 2006 · Katika miaka hii tuliyo nayo, ni sahihi kabisa kusema kuwa, takriban wanaadamu wote walio hai wamekuwa wakikabiliwa na tatizo hili.Kuna baadhi ya aina za msongo wa kimawazo, ambazo zinaepukika na nyingine ni ngumu kuziepuka ila unapaswa kujua jinsi ya kukabiliana na shinikizo la msongo wa mawazo pale linapokukabili.
Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza …
Apr 11, 2022 · Ni ndefu kiasi ila jitahidi umalize. Natumaini Wote Mu wazima wa afya, kwa walio wadhaifu basi Mungu awaponye na awatie nguvu tena. Modes nimeamua kutumia ID tofauti na ambayo huwa natumia kwa sababu za privacy tu sababu ID nayotumia nafahamika personally na baadhi ya watu, kwa hivyo naomba...
Utunzaji wa nywele za asili - JamiiForums
Jul 28, 2011 · JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO YA KUKUZA NYWELE HARAKA NA KUFANYA ZIWE NA AFYA. vifuatavyo ni vitu vya asili ambavyo utachanganya vyote kupata shampoo yako. 1. ALOVELA GEL Chukua ute WA alovera vijiko kadhaa weka kwenye chupa yako. Tikisa vizuri Alovera inatabia ya kuifanya nywele ikue haraka, iwe yeñye afya, inaondoa mba na muonekano WA asili ...
Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi
Apr 6, 2011 · Unapaswa kujua jinsi ya kuweka kitanda ndani ya chumba cha kulala vizuri, kwa kuwa hii itaamua jinsi mpango utakavyogeuka na kama chumba kitakuwa na usawa. Ni muhimu kuzingatia vipengele vya chumba na ushauri wa muhimu, ambao utakuwa rahisi kufanya uchaguzi sahihi. Pia unatakiwa kuwa na mweza ya pembeni ya kitanda. Hizi ni dondoo chache za namna unavyoweza kupanga meza yako ya pembeni mwa ...
Jinsi ya kumshawishi mwanamke kufanya mapenzi - JamiiForums
Jul 14, 2015 · Zifuatazo ni njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke. Njia hizi zimegawanyika katika hatua mbili kuu, kwanza ni kumfanya akukubali na kisha kuamsha hisia zake. 01: Mfanye akukubali Njia za kumfanya akukubali ni kama ifuatavyo 02: Uwe na muonekano mzuri Wanawake wanapenda wanaume...
SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili …
Mar 26, 2024 · Ningependa kutoa somo la bure kwa wale ambao wanawaza jinsi gani wanaweza kuanza kuagiza bidhaa kutoka china. Bidhaa hizi ni za jumla kwa ajili ya biashara. Utaagiza moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji. Kupitia uzi huu utaweza kuona bei halisi za bidhaa pamoja na kujua ni jinsi gani...
Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa …
Nov 7, 2018 · Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na tuwapendao na mauzauza mengi sana. Nakumbuka mzee mmoja alinambia mapambano ya kupata maisha mazuri...
Mbinu 15 za kumtongoza mwanamke akakupenda daima
Apr 7, 2014 · Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote. Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe mwanaume ili kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa katika mazungumzo ; 1. Wakati...
Msaada namna na kuondoa watuamiaji kwenye router ya airtel 5G
Jan 21, 2016 · Habari wakuu, Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia. Nimeona kuna tatizo kwenye kifaa chao mfano nilimuunga rafiki yangu kwenye simu yake ya Samsung s20...