
Alex Msama (@alex_msama) • Instagram photos and videos
211K Followers, 428 Following, 786 Posts - Alex Msama (@alex_msama) on Instagram: "CEO of Dira Media Group & Food Point"
Alex Msama akamatwa na Polisi ofisini kwa Waziri Silaa
Apr 19, 2024 · Mkurugenzi wa Kampuni ya Udalali ya Msama Promotion, Alex Msama, anashikiliwa na Polisi jijini hapa. Kwa mujibu wa video iliyowekwa kwenye mtandao wa Shirika …
Alex Msama Aachiliwa Huru na Mahakama | UDAKU SPECIAL
Jan 1, 2025 · Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Kinondoni imemuachia huru Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha mashtaka ya kughushi nyaraka za kiwanja dhidi yake.
Pre GE2025 - DSM - Alex Mshama: Tamasha la kuombea
May 16, 2024 · Viongozi wa dini mbalimbali nchini wanatarajiwa kufanya Tamasha kubwa la Maombi ya kuombea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Akizungumza na vyombo vya habari Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo amesema tamasha litafanyika...
Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe
Mar 27, 2024 · Aidha, Waziri Silaa amemtaja Alex Msama kuwa ni tapeli namba 3 wa viwanja jijini Dar es salaam na tayari ameishaagiza baadhi ya maeneo anayoyamiliki kinyemela kunyang’anywa ikiwemo eneo la wazi na eneo la fukwe lililopo Mbweni Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli
Apr 19, 2024 · Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kutapeli viwanja vinne vya Beatrice Mshumbuzi, vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 800. Msama amekabidhiwa kwa polisi leo na Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa.
MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALEX MSAMA - MICHUZI BLOG
Dec 31, 2024 · Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Kinondoni imemuachia huru Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha mashtaka ya kughushi nyaraka za kiwanja dhidi yake.
Alex Msama (@alex_msama) • Instagram photos and videos
232K Followers, 371 Following, 526 Posts - See Instagram photos and videos from Alex Msama (@alex_msama)
Alex Msama atoa rai kwa wanasiasa kutotumia lugha chafu …
Mar 24, 2025 · Mwenyekiti wa Kamati ya Tamasha la kuombea Amani na Uchaguzi Mkuu wa oktoba 2025 amewataka wanasiasa kutotumia lugha zisizofaa katika majukwaa lengo likiwa ni kuepuka msuguano utakaoweza kusababisha vurugu kwa baadhi yao.
Waziri Silaa amtaka Alex Msama wa 'Msama Promotions' kufika …
Mar 27, 2024 · Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama kujisalimisha kwa Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Dar es salaam akiwa na...
- Some results have been removed