
BABA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 30 JELA KOSA KUMBAKA 'MTOTO ... - YouTube
Mkazi wa Iringa Imani Mfilinge (46) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumbaka Mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 13 aliyekuwa akisoma darasa la sita ambapo...
MWALIMU AENDA JELA MAISHA KWA KUMLAWITI …
Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Tabora leo imemuhukumu kutumikia kifungo cha maisha Jela Mwalimu Dotto Belias Masatu (ALIYEVAA KOTI JEUPE) wa Shule binafsi ya awali na msingi St.Doroth iliyopo Tabora mjini baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka minane ambaye jina lake tunalihifadhi anayesoma darasa ...
AENDA JELA MIAKA 20 KWA WIZI WA TRANSFOMA - YouTube
Dec 13, 2024 · Haji Hassan amehukumiwa kwenda jela miaka 20 kwa wizi wa transfoma ya umeme mkoani Tanga.
TVE | AENDA JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA MTOTO WA MIAKA 5 …
Feb 8, 2025 · Akisoma hukumu hiyo Hakimu, Kisoka alimhukumu mshtakiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama ya Nicholaus Kidonganya.
Aenda jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wa miaka 13 - Mwananchi
Aug 30, 2024 · Frank Kahise, mkazi wa Mtaa wa Mkombwe amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Iringa, kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 13.
Aenda jela miezi 3 kwa kuiba mahindi ya 'Buku Jelo' - PMTV
Aug 24, 2024 · Jamaa mmoja huko nchini Kenya, aliyetambulika kwa jina la Meshack Opandiandiati, amehukumiwa na mahakama ya Kakamega ya nchini humo kwenda jela miezi mitatu kwa kosa la kuiba mahindi yenye thamani ya shilingi 70 za kenya (sawa na 1500 ya Tanzania). Alifikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Angeline Odawa ambapo alikiri mashtaka hayo.
Mlemavu wa macho aenda jela kwa kushika maumbile ya Binti wa …
Nov 22, 2024 · Mwanaume mmoja mwenye ulemavu wa macho huko Chipata nchini Zambia amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kushika matiti ya msichana wa miaka 14. Abraham Khondowe mwenye umri wa miaka 43, wa Kitongoji cha Walela, aligusa matiti na …
#live: AENDA JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA MTOTO WA MIAKA 5
🔴 #live: AENDA JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA MTOTO WA MIAKA 5
John aenda jela miaka 15, kwa kutaka kumbaka Bibi kizee wa …
Jun 21, 2024 · Mahakama ya hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi Juni 21, 2024 imemuhukumu kwenda jela miaka 15 John Swaki Fokasi (33) kwa kosa la kujaribu kumbaka bibi wa miaka 80. Mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Aprili 03, 2024 huko Tulieni Mashambani majira ya saa sita usiku alipomvamia bibi huyo kwenye nyumba aliyokuwa amejihifadhi.
KUTOKA MAHAKAMANI: Aenda jela miaka minne kwa kumuua …
Jul 24, 2024 · Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Musoma imemhukumu kifungo cha miaka minne na miezi 10 jela, Mabula Mathias, mkazi wa Kiji cha Kasuguti Wilaya ya Bunda mkoani Mara baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua …