Viongozi wakuu na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamejitokeza kwa wingi makao makuu ya chama hicho ...
Mgogoro unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), umechukua sura mpya baada ya Rwanda ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema vijana wanaotaka kufanya biashara eneo la Kariakoo wafike ofisini ...
Safari ya ndege kwa wanandoa wawili Mitchell Ring na Jennifer Colin, waliokuwa wakitokea Australia kwenda Venice, Italia ...
Baada ya wabunge kucharuka kuhusu mikopo ‘kausha damu’ kwenye mitandao, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekuja na mwarobaini ...
Wakati usiku wa leo Alhamisi, Februari 27, 2025 ni kilele cha sherehe za uzinduzi wa Kariakoo ya saa 24, wasanii zaidi ya 10 ...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Watumishi Housing Investiment (WHi), Dk Fred Msemwa kuwa ...
Madhara ya kuchukua Sheria mkononi. Ndicho kilichomkuta mkazi wa Mara, Rhobi Chacha, ambaye amekwaa kisiki Mahakama ya Rufani iliyobariki adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kuwauwa watu ...
“Shida hawatumii dawa vizuri, ukimkuta wa kiharusi alikuwa na presha, hamezi dawa kwa wakati au leo amemeza kesho ameacha.
Chama cha ACT-Wazalendo kimeitaka Serikali kuvunja mkataba na mwekezaji anayeendesha Bandari ya Malindi na kurudisha shughuli za uendeshaji wa bandari kwa Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC).
Wataalamu wa lishe nchini Tanzania wamesema licha ya umuhimu wao katika jamii, bado hawatambuliki rasmi kama sehemu ya kada ...
Ili kuhakikisha sekta ya uchumi wa buluu unagusa maisha ya watu kwa vitendo, Serikali imeanzisha sera mpya ya uchumi wa buluu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results