Sidiki Diabaté alikuwa katikati ya tamasha katika ukumbi mkubwa wa La Défense Arena, huko Nanterre katika mkoa wa Paris, wakati wizi huo ulipotokea. Kulingana na vyanzo vya polisi, ilikuwa saa ...
Unguja. Kifo cha msanii mkongwe wa taarab, Said Mpenzi, kimeacha pigo kubwa kwa Zanzibar, kwani alikuwa mmoja wa wasanii nyota waliotamba ndani na nje ya visiwa hivyo, akiiletea sifa kubwa nchi hiyo.
Msanii wa muziki wa Jazz, Blinky Bill kutoka Kenya, ameiambia Mwananchi Digital kuwa Tanzania imepoteza ladha ya muziki iliyokuwa ikifanya zamani. Msanii huyo ambaye ametumbuiza leo ikiwa ni siku ya ...
Leo sio mara ya kwanza kupiga stori kuhusu ngoma ya Kila Wakati, mara ya mwisho wakati tunaichambua tuliangalia jinsi gani ngoma hiyo inawafundisha jambo waandishi wa habari, kwani ilipotoka, ...