Wizara ya Afya imewahimiza wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Mpox kwa kuepuka kushiriki vitu vya binafsi kama nguo, mashuka na blanketi vilivyotumiwa na mtu mwenye dalili za ugonjwa huo.
JESHI la Polisi wilayani ya Tarime limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi wa Koo za Wakira na Waanchari waliokuwa wameanzisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe wakigombea ardhi. Mkuu ...
Kwa sasa Tanzania inahamasisha matumizi gesi ya kupikia, ikitekeleza mkakati kuhakikisha asilimia 80 ya wananchi wanahamia ...
Hapa ndipo Vodacom Tanzania ilipoingilia kati kupitia kampeni yake ya ‘Shangwe Popote Ukitumia M-Pesa’, kuhakikisha kuwa sherehe za sikukuu zinawafikia watu wote, popote walipo. Ikiwa na dhamira ya ...
Matumizi ya nishati safi yana umuhimu mkubwa, Desemba 2, 2023 wakati wa uzinduzi wa mradi wa Nishati Safi Afrika, Rais Samia Suluhu Hassan alieleza namna wanawake wanavyoathirika na nishati safi.
NHK inajibu maswali kuhusiana na kuhakikisha usalama wa maisha ya kila siku. Nchini Japani, watu wengi huugua mafua yaletwayo na poleni kati ya mwezi Februari na Mei kutokana na poleni ya maua ya ...
(2) Nini husababisha mafua yaletwayo na poleni? NHK inajibu maswali kuhusiana na kuhakikisha usalama wa maisha ya kila siku. Nchini Japani, watu wengi huugua mafua yaletwayo na poleni kati ya ...
KUNA hesabu Kali ambazo Yanga inazipiga kibabe ndani ya kikosi chao cha msimu ujao wakitaka kuingiza silaha za maana ndani ya mziki wao lakini kuna wawili lazima waachie nafasi fasta ili dili ...
MBEYA: JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mussa Basuka ,30, ambaye ni mchimbaji mdogo na mkazi wa Manyanya wilayani Chunya kwa tuhuma za kumuua rafiki yake Issa Mohamed ,30, kwa kumpiga ngumi ...
Ikiwa baada ya saa hizo utajiona bado unakihitaji, anza kufikiria namna ya kukipata. Lakini ikiwa utasahau kama wengine, hutakuwa na sababu ya kununua tena. Ni vizuri pia kuwekeza kwa malengo ya ...
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results