In the 21st century, the online movie streaming market, streaming platform and the number of movie streaming app has risen dramatically. Today, millions of people all around the world opt to watch ...
Dar es Salaam. Wakati Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza kuboresha miundombinu yake kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Zanzibar na Pwani limetoa ratiba ya jinsi litakavyotekeleza kazi hiyo.
Katika taarifa ya TANESCO iliyotolewa leo February 19,2025 imesema hatua hiyo ni muhimu kwa Shirika kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wake kufuatia ongezeko la mahitaji ya matumizi ya umeme katika ...