Watu watano wameuawa na wengine wengi kuachwa bila makao baada ya kimbunga kwa jina Chaba kufika maeneo ya Korea ... Kisiwa chenye hoteli za kitalii cha Jeju pia kimeathiriwa sana.