Majadiliano kuhusu kuhalalisha uavyaji mimba au kutohalalisha mara nyingi huwagawanya wafuasi wa kimsingi wa kidini na wale wanaotetea serikali ya kilimwengu na matumizi kamili ya uhuru wa mtu ...
Kutokana na sayansi na teknolojia inavyozidi kusonga mbele kwa kasi , na mambo mengi kurahisishwa wahubiri wengi nchini DRC sasa wanatumia bibilia za kwenye simu badala ya Bibilia za kawaida ...