Aliitumikia Manchester United kwa mkopo katika msimu wa 2023/2024 na kushindwa kuishawishi ibaki naye moja kwa moja.
Ubao unaweza kupinduka. Namba za mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga zinashuka siku hadi siku tofauti na Simba ...