Lakini licha ya umaarufu wake na mafanikio kedekede msanii huyo ambaye alifariki dunia mwaka 1996 hakuwahi kushinda tuzo ya Grammy hata moja. Kutokana hilo mashabiki na wadau mbalimbali wa muziki wake ...
Sambamba na hayo video kwenye kuvumisha nyimbo pia huwapa wasanii mafao makubwa mfano kupitia majukwaa ya kutazamia video za muziki kama YouTube msanii anaweza kupata faida na hii ni sehemu nyingine ...