Sambamba na hayo video kwenye kuvumisha nyimbo pia huwapa wasanii mafao makubwa mfano kupitia majukwaa ya kutazamia video za muziki kama YouTube msanii anaweza kupata faida na hii ni sehemu nyingine ...
Dar es Salaam. Ni miaka saba sasa tangu Marioo aachie wimbo wake wa kwanza 'Dar Kugumu'(2018). Licha ya kuwa wakati msanii huyo anaingia kwenye game aliwakuta nyota wengine waking'ara kama vile ...