SERIKALI imesema itatumia mfumo wa ushirikiano na sekta binafsi (PPP) katika Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam ...
Kiafya, foleni pia zinatajwa kusababisha maradhi ya akili, pumu, mfumo wa hewa, moyo na mzio utokanao na mafuta.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa, na Michezo Hamis Mwinjuma amewaagiza wataalamu kutoka wizara hiyo kufanya tathmini ...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameagiza mamlaka zinazohusika na kutoa vibali vya ujenzi ikiwemo mipango miji, kutokutoa ...
Wahasibu wa Wizara hiyo na Taasisi zake ni chachu na nguzo muhimu  ya kufanikisha malengo ya Wizara na Serikali kwa ujumla ...