Ijumaa iliyopita, Rais mteule wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah aliapishwa kuwa Rais wa tano wa Namibia baada ya kushinda ...
kwa lengo la kuona namna ambavyo matumizi ya gesi asilia yameleta mapinduzi katika chuo hicho baada ya kuacha matumizi ya kuni kama chanzo cha nishati wakati wa kupika na kuhamia katika matumizi ya ...
Kuhusu mkutano huo, amesema ulilenga kuangalia fursa zilizopo katika masoko yao kwa pamoja ukibeba kaulimbiu ya ‘Soko moja, fursa zisizo na ukomo’ “Wote tunaangalia uwekezaji wa pamoja kuangalia namna ...
Wizara ya Afya imewahimiza wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Mpox kwa kuepuka kushiriki vitu vya binafsi kama nguo, mashuka na blanketi vilivyotumiwa na mtu mwenye dalili za ugonjwa huo.