Kumbe kuna mbinu iliyotumika ya kufuta ujumbe kamili ambao Mungu alikuwa anakupa kwenye ndoto. Kifutio cha tatu, ni kuota ndoto unafanya zinaa yaani, unazini kwenye ndoto. Anatumika mwanamke wa ...
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita imewataka wanawake wajawazito kufika mapema katika vituo vya afya mara wanapogundua kuwa ni wajawazito ili kupata ushauri wa kitaalamu kuhusu namna ya kulea ...
Wizara ya Afya nchini Tanzania imetaja aina saba za saratani zinazowasumbua wanaume na wanawake, huku ikiainisha namna ya kuepuka vihatarishi vya ugonjwa huo. Saratani hizo ni mlango wa kizazi ...
Waziri Mkuu wa Japani Ishiba Shigeru amepanga kutumia mkutano wake ujao na Rais wa Marekani Donald Trump kuepuka ... thamani ya uwekezaji bora. Viongozi hao wanatarajiwa pia kujadili namna ya ...
Hivyo, Umoja wa Mataifa unaendelea kusisitiza wito wake kwa pande zote zinazohusika katika vita vya Sudan kuepuka kulenga raia na miundombinu ya kiraia na kutekeleza majukumu yao chini ya sheria za ...
Kesho yake nikaenda Bondeni sikumpata, hiyo kesho nyingine nikarudi huko sikumpata. Siku tatu baadaye tukapata mwili kwa maji kwa lake, walituulia ndoto ya mtoto wetu,” said Jane Wanjiru. A few ...
Doxxing ni desturi ya kufichua taarifa za kibinafsi za mtu kwenye mtandao bila idhini yake. Picha: Uzazi / Avast. Motisha nyuma Doxing Inaweza kutofautiana, lakini kwa kawaida inahusishwa na migogoro ...
Takriban watu 30 waliuawa na wengine wengi 90 kujeruhiwa usiku wa Jumanne Januari 28 kuamkia Jumatano Januari 29 huko Prayagraj, kaskazini mwa India, wakati wa mkanyagano uliotokea wakati wa Hija ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
Msemaji wa serikali ya Congo, Patrick Muyaya, amesema vikosi vya DRC vinapambana kwa bidii ili kuzuia machafuko na mauaji, huku akitoa wito kwa wakazi wa Goma kusalia majumbani mwao na kuepuka vitendo ...
“Sitaki kumsikia kocha wangu akisema mambo fulani kuhusu timu kwa sababu najua haamini hivyo, lakini alitafuta namna ya yeye pia kujihusisha na hilo jambo linalowafanya watu wasiwe na hasira au ...
Mchezo wa leo unatazamiwa kwa umakini zaidi na timu zote mbili huku kila moja ikiwa na hesabu, Simba ikiuchukulia mpambano huo kwa umakini mkubwa ili kuepuka kurudia makosa ... tumejaribu kutafuta ...