Baada ya Japani mwaka 2021, Ufaransa inaandaa toleo la 3 la mkutano wa kilele wa Lishe kwa Ukuaji "Nutrition for Growth" huko ...
Aidha, Odinga amesema anatarajia uchaguzi wa amani na uwazi nchini Tanzania. Kauli hiyo ameitoa wakati CHADEMA ikisitiza kuwa hakutakuwa na uchaguzi kama mabadiliko yasipofanyika.
MKUU wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amesema serikali haitamvumilia mtu yoyote atakayetoa matamko yanayochochea uvunjifu wa amani na kuvuruga amani na utulivu kwa kisingizio cha siasa. Badala yake ...