Wakati habari zimezagaa kila kona ya jiji kuwa mwanamitindo Hamisa Mobetto anaolewa Februari 15, 2025 na mchezaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki, mama wa mwanamitindo huyo ameongea jambo zito ...
Ni kweli Aziz KI tamuoa Hamisa au ni habari za mjini basi jibu lake limepatikana. Meneja wa Hamisa Mobetto, Doctar Ulimwengu amesema suala la ndoa ya Hamisa na Aziz Ki ni ukweli mtupu na siyo kiki ...
baada ya kuchapisha video zikidai wawili hao wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni. Kupitia ukurasa wa Instagram wa mtangazaji Zamaradi Mketema ameweka wazi kuhusu kuwepo kwa ndoa ya wawili hao, kwa ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Jux amefunga ndoa na mpenzi wake mfanyabiashara kutoka Nigeria Priscilla leo Februari 7,2025. Taarifa ya ndoa ya wawili hao imetolewa na baadhi ya mastaa Bongo ambao ...
Je, viongozi wa dini wataacha kweli kufungisha ndoa kisa wanaotaka kuoana hawajapimwa selimundu? "Kumbuka asilimia 90 ya wanaoamua kufunga ndoa, walishaanza uhusiano zamani. Njia sahihi hapa ni ...
ardhi na migogoro ya ndoa ambayo ndiyo imekuwa inasumbua kwenye jamii. Ninatoa wito kwa mawakili wa serikali kushiriki kikamilifu," alisema. Mbunge wa Moshi Mjini (CCM), Jacob Tarimo alisema watu ...