Nuru Kambi, ni mmoja wa wakulima hao, anasema wanashindwa kulima kwenye eneo lao lililopo zaidi ya mita 500 toka ulipo mto Ngerengere, kutokana na maji yenye chumvi kutuama kwenye eneo la mashamba yao ...