Hadi katikati ya miaka ya 2000, Danny Msimamo alikuwa miongoni mwa marapa wakali katika Bongofleva akitambulika na wengi kama msanii mwenye uwezo wa kufikiri nje ya box na nyimbo zake ...