Msanii huyo, anayefahamika pia kwa jina la Mwapombe Hiyari Mtoro, alikuwa kati ya waanzilishi wa kundi lililojulikana kama ...
Chanzo cha picha, Getty Images Mwanamuziki huyo ni mmoja wa wasanii mashuhuri na wanaotambulika katika historia ya muziki, na vibao vikiwemo No Woman No Cry, One Love, na Redemption Song.
Na jeshi la Polisi Dar es Salaam, linasema linatarajia kukamilisha uchunguzi wa kifo chake cha msanii huyo hii leo. Mpaka sasa Jeshi la Polisi linamshikilia msanii mmoja wa kike ambaye imeelezwa ...
MWILI wa mwimbaji maarufu wa zamani wa bendi ya Maquis, Tabia Mwanjelwa umewasili nchini jana Jumatatu kutoka Ujerumani, ...
Polisi wamesema kuwa uchunguzi wa awali haujaonyesha dalili za uhalifu, lakini wanaendelea kuchunguza mazingira ya kifo chake.
TABIA Mwanjelwa, ni mmoja wa waimbaji wa kike wa mwanzo kabisa nchini Tanzania, ambeye amefariki dunia nchini Ujerumani, ambako amekuwa akiishi kwa zaidi ya miaka 35 tangu alipoondoka ...