Wataalam wanaamini kwamba mnyama huyo wa kiume anatafuta chakula ama mke. Duma huyo ambaye amebandikwa mkufu unaoweza kuonyesha kule aliko , aliondoka eneo analoishi katika eneo moja la wanayapori ...
Mwanaume mwenye umri wa miaka 49 alifariki dunia huko Palakkad ya Kerala wiki chache zilizopita baada ya kushiriki katika shindano la chakula wakati wa tamasha la Onam. Mshiriki mmoja alikabwa na ...