News

Mmiliki wa jogoo alichomwa kisu usawa wa kati ya tumbo na nyonga wakati kuku huyo akijaribu kutoroka. Mwanaume huyo alipoteza maisha akiwa njiani kuelekea hospitali kwasababu ya kupoteza damu nyingi.
Mtu mmoja aliyekuwa amejihami kwa kisu aliwashambulia abiria katika kituo ... mahala pa shambulizi hilo inaonyesha bayana kiwango cha damu iliyomwagika katika lango la kituo hicho cha treni ...