Serikali ya Queensland imetangaza ita ondoa sheria za coronavirus kwa watu ambao wame pata chanjo kamili, na biashara pamoja nakuweka vizuizi kwa matembezi hospitalini kwa watu ambao hawaja ...
Mwaka wa shule wa 2025 uli anza Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili walirejea shuleni Jumatano 29 Januari katika jimbo la ...