News

Kwa uchumi wa Urusi, uhaba wa wafanyikazi umekuwa hatari kubwa. Mnamo Aprili, kiwango cha ukosefu wa ajira nchini Urusi kilishuka hadi asilimia 3.3 kutoka asilimia 3.5 mnamo Machi. Takwimu zote ...
Watalii wengi hufika visiwani huko kwaajili ya mapumziko na sasa wengi huenda wakakumbana na uhaba wa pombe katika mahoteli, migahawa na sehemu za starehe. Akizungumza jana wakati wa uapisho wa ...
Ukaguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), umebaini vituo vingi vya mabasi nchini vinakabiliwa na ...
Kulingana na shirika hilo, karibu Wakongo milioni 80 wameathiriwa na hali ya uhaba wa chakula na milioni 28 wanahitaji hatua za haraka. Kutokana na mzozo wa sasa unaoathiri DRC, IPC imelazimika ...
Dar es Salaam. Wizara ya Afya Zanzibar, imetaja mikakati ya kukabiliana na uhaba tiba za kibobezi na madaktari bingwa na bobezi, huku ikikaribisha wawekezaji katika sekta ya afya visiwani ...
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk. Selemani Jafo, amemwagiza Ofisa Elimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe, kukutana na ...
Awali, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Aron Joseph alisema mradi huo utahusisha ...
Takwimu mpya za kutisha kutoka Somalia zinaonyesha kuwa watu milioni moja zaidi wanaweza kuingizwa katika viwango vya mgogoro wa uhaba wa chakula katika miezi ijayo kwani hali ya ukame ...
Aprili 11 imetimia wiki mbili tangu tetemeko kubwa la ardhi lilipotokea katikati mwa Myanmar. Umoja wa Mataifa, UN unasema ...