SAKATA la kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi bado linaendelea na kufunika kila kitu kinachoibuka katikati yake.
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wamesema wako tayari kwa kuwakabili Morocco katika mchezo ...
Kwa sasa Yanga wapo kileleni mwa Ligi hiyo kwa alama 49, wakifuatiwa na Simba yenye alama 48 baada ya timu zote kucheza michezo 21. Mara ya mwisho timu hizo zilikutana katika Nusu Fainali ya Kombe ...
KOCHA Mkuu wa kikosi cha Simba Queens, Yussif Basigi amesema timu hiyo inapaswa kuwa makini na michezo iliyosalia ya Ligi Kuu ...
Yanga imeweka ngumu ikisema haitatia timu kwenye mchezo namba 184 dhidi ya Simba ambao uliota mbawa, baada ya kushindwa ...
WAKATI kikosi cha timu ya taifa jana kikiwasili Morocco tayari kwa mchezo wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya timu ya taifa ya ...
Timu hizo zinakutana huku Yanga wakiongoza msimamo wa ligi wakiwa na pointi 19 na Simba ipo nafasi ya pili ikiwa imekusanya jumla ya pointi 17 huku kila timu ikiwa imeshacheza mechi saba.
Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo kubwa Afrika kuahirishwa ...