Barua zilizoshikiliwa zilizoandikwa kwa wanaume wa Morocco kutoka kwa wanawake wa Uhispania miongo kadhaa iliyopita zinaonesha historia ya mambo ya miiko wakati wa ukoloni. "Utarudi lini Uhispania ...
Barua iliyotumwa miaka 30 iliyopita kutoka Amerika Kusini mwaka 1991 hatimaye imemfikia mlengwa. Neil Crocker, ambaye alikuwa akifanya kazi katika jeshi la majini la Uingereza, alikuwa akirejea ...
9. Kumbukumbu na machapisho ya zamani za kale Barua zilizoandikwa mwaka 1711, kisiwani Kilwa, ndio zinaaminika kuwa ndio nyaraka za kwanza kuandikwa kwa Kiswahili. Barua hizo zilitumwa kwa Wareno ...