News

Maelezo ya picha, Kusikia sauti yetu wenyewe wakati mwingine hututia wasiwasi. 4 Septemba 2023 Kusikia sauti yetu wenyewe wakati mwingine ni wasiwasi. Mwitikio huu sio wa ajabu wala mpya.
Baadhi ya watu wana sauti za kuvutia zaidi kuliko wengine, na ukweli utegemea mabadiliko katika historia yetu. Lafudhi ni njia moja inayoweza kutathmini mtu na hata kujua eneo alilotoka.