Jacob Zuma ndiye rais maarufu na mwenye utata mwingi Afrika Kusini kuwahi kuwa naye tangu enzi za uongozi wa Wazungu kumalizika 1994. Amekuwa mwanasiasa mwenye roho tisa, akinusurika msururu wa kashfa ...