Katika juhudi za kuimarisha utalii wa ndani na kikanda, Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZCT) imeingia ushirikiano na klabu ya ...
Tunawaombea mafanikio zaidi kwani mafanikio ya Yanga ni mafanikio ya Tanzania.” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameipongeza timu ya Yanga kwa kuiwakilisha vyema Tanzania katika michuano ...
MASHABIKI wa Simba wanachekelea hatua ya mchezo dhidi ya Yanga kuahirishwa, wanawatambia wenzao wa Yanga, kwamba mechi ...
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kwa mara ya kwanza amehudhuria mechi ya wa miguu kati ya Simba na Yanga. Rais Magufuli amehudhuria mapambano huo huku akiwa amevalia jezi ambayo upande ni sare ...
Katibu wa Matawi ya Yanga mkoani Kagera Jamali Kalumuna aliwaongoza wadau kufungua kikao cha kutoa kauli ya pamoja kuwa ...
UMOJA wa Matawi 12 ya wanachama wa Klabu ya Yanga mkoani Geita wameunga mkono uamuzi wa viongozi wao kutocheza mchezo ...
Yanga imewasili ikiwa imekamilika kwenye kikao maalumu cha Waziri Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Palamagamba Kabudi, huku wakitenganishwa na viongozi wa Simba.