News

Ndizi zinazomea porini ambazo huenda ndio suluhu katika kulinda ndizi za kawaida zinazotumiwa kama chakula cha binaadamu zimeorodheshwa miongoni mwa mimea inayoangamia. Mti huo hupatikana nchini ...
Mara nyingine husemekana kwamba ulaji wa ndizi nyingi kupita kiasi kwa mpigo unaweza kuhatarisha maisha yako. Imedaiwa zaidi kwamba ulaji wa zaidi ya ndizi sita kwa mpigo unaweza kukuuwa.
Waziri Bashe aliwashauri wasafirishaji wote wa Kitanzania wanaosafirisha bidhaa za kilimo kuacha kupakia bidhaa hizo mpaka hapo Malawi na Afrika Kusini watakapobadilisha msimamo wao.
Serikali ya Tanzania imesema itazuia uingizaji wa mazao na bidhaa za kilimo kutoka nchi za Malawi na Afrika Kusini kuanzia ...
Tanzania imetoa muda wa mwisho kwa serikali za Afrika Kusini na Malawi kuruhusu mazao ya Tanzania yaingie katika nchi hizo.
Serikali ya Tanzania imetangaza kuchukua hatua kali dhidi ya Malawi na Afrika Kusini kufuatia vikwazo vya kibiashara ...