News

Je, wewe unadhani ni mnyama gani huyu ... Watafiti wanajaribu kubaini iwapo mbwa aliye na umri wa miaka elfu 18 aliyepatikana huko Siberia ni mbwa au mbwa mwitu. Meno ya mbwa huyo aliyefariki ...
Wanasayansi nchini Uingereza wamesema wako na thibitisho la kwanza kwamba mbwa anauwezo wa kubaini ugonjwa wa malaria. Je, wewe unaweza kumruhusu mbwa kukunusa ili aweze kubaini iwapo unaugua?