Mwanamke mmoja ameangua bata watatu na kuwapa majina ya Beep, Peep na Meep kwa kutumia mayai aliyonunua kutoka duka moja la kufanya manunuzi. Charli Lello, 29, kutoka Hertfordshire, aliweka mayai ...
Lakini pia kuna mayai ya bata, bata bukini na mayai ya kware. Yai moja la kuku lina: Kalori 84 kcal / 351 KJ Gramu 8.3 za protini Gramu 5.7 za mafuta Mayai yamejaa virutubisho. Huwa na ...