News

Tulichokifanya kubadili jina kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) haina ...
Wakati wa utafiti huo, ilibainika kuwa wale ambao wana matiti makubwa wako kwenye hatari ya kufa kabla ya kufika miaka 75 kwa ...
Kufumba na kufumbua akawa anatambulika kama mgonjwa mwenye matatizo ya akili. Leo ikiwa ni siku ya watu wenye matatizo ya akili duniani, mwanahabari wa BBC Asha Juma amepata fursa ya kutembelea ...
TANGU Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ilivyoanza maeneo mbalimbali nchini, imesaidia wananchi wengi ambao walikosa msaada wa kisheria kutatua kero zao na kupata haki zao. Kampeni hiyo imea ...
Kawaida hali hii hutokana na mambo kadhaa, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa usingizi baada ya kuzaliwa kwa mtoto, ukosefu wa msaada, au matatizo ya kifedha. Na hii inaweza kutokea kwa mtu katika umri ...
WATU 199 kati ya 249 sawa na asilimia 80 ya watu wote waliochunguzwa, wamekutwa na matatizo ya moyo. Aidha kati ya watu hao ...
Hali za maisha za manusura wa tetemeko kubwa la ardhi lililotokea mwezi uliopita nchini Myanmar zinazidi kuwa hata mbaya ...
KIUNGO wa Simba Queens, Saiki Atinuke imefichuyka sababu za kukosa mechi zote za msimu huu hadi sasa ni majeraha na matatizo ...
WATAFITI kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wameeleza ya kwamba wananchi wengi wanaoishi vijijini katika ...