News

Maelezo ya video, Magugu maji katika ziwa Victoria yageuzwa nishati mbadala 31 Oktoba 2018 Magugu maji haya kwa muda mrefu yamekuwa tatizo katika Ziwa Victoria na ni tishio kubwa kwa biashara ya ...
Ingawa juu ya mto huo kwa sasa umetanda utando wa kijani kutokana na kuvamiwa na magugu maji. Magugu maji hayo yanawaogofya wakulima na wavuvi wanaolitegemea ziwa hilo. Watu waishio karibu na ziwa ...