News

Maelezo ya picha, Masomo ya lugha ya Belarusi: Vijana wanafaida zaidi ya watoto wadogo na watoto wachanga inapokuja katika suala ya kujifunza lugha mpya 19 Julai 2020 Ni wakati wa majira ya ...
Katrina Esau anafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa lugha yake asili, ambayo kwa sasa inazungumzwa na watu watatu pekee, haiangamii. Bi Esauni, 84, ni mmoja wa watu watatu walio hai ambao ...
Baadhi ya watoto wanaohama kujikuta njia panda kwa sababu ya kubadilishiwa mfumo wa elimu waliosoma awali, hasa kwa ...
Mwakilishi wa Mwanakwerekwe, Ameir Abdalla Ameir ameihoji Serikali kinachokwamisha kukamilisha sera ya Kiswahili wakati ...
Kiswahili ni lugha ya taifa Tanzania na Kenya, na pia kinazungumzwa Uganda, DRC na visiwa vya Komoro. IPia kinazungumzwa kidogo Burundi, Rwanda, Kaskazini mwa Zambia, Malawi na Msumbiji.
Licha ya kuwa Lugha ya Kiswahili ,imetambuliwa lugha ya kimataifa ,juhudi za kuikuza bado ni kidogo.Nchini Kenya shirika la kimataifa la Toastmasters ,inayotoa mafunzo kuhusu namna ya ...
NAIROBI, Apŕili 20 (IPS) – Mjadala kuhusu ni kwa kiwango gani elimu kwa lugha za kienyeji inaweza kuboŕeshwa unaibukia nchini Kenya, huku baadhi ya wataalam wakifanya kampeni juu ya matumizi ya lugha ...
Lugha ni muhimu kwa elimu na maendeleo endelevu, zikitumika kama njia kuu ambayo maarifa hupitishwa na tamaduni kuhifadhiwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyo chapishwa katika tovuti ya Umoja wa mataifa ...
Kila mwaka watu wengi kutoka katika mataifa mengine wanakuja kuishi ujerumani, zaidi ya asilimia ishirini (20%) ya watu wanaoishi ujerumani wanatoka katika utamaduni mwingine wengi ni wamahiri wa ...
Kabla ya kulidadavua suala la miundo ya nomino ambata, kwanza tufahamu aina zifuatazo za nomino katika lugha ya Kiswahili: Nomino za pekee/maalumu/mahususi Ni nomino zinazotaja kitu chenye upekee ...
Ngeli ni kundi la nomino zenye sifa zinazofanana kisarufi. Nomino za A-WA zina kiambishi ‘a’ cha umoja na ‘wa’ cha wingi, katika upatanisho wa kisarufi. Mfano katika sentensi: Mwanafunzi ...