Siku moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumsamehe kada wake wa zamani, Dk Wilbrod Slaa na kupokewa ...
Mbunge wa Siha (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel amedai kuandikiwa barua na kamati ya nidhamu ya CCM ...
Baadhi ya watu wameamua kuandika barua. Kwa kua hakuna mfumo wa posta unaoanya kazi, barua hizo zinawasilishwa kupitia mabasi yanayosafiri kati ya miji yajimbo hilo na maeneo mengine nchini.
Sigala amesema watakuwa wakifanya kazi hiyo kwa kuandika barua na kuipeleka Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) ambalo jukumu lake itakuwa kutoa adhabu ikiwemo kuifungia kazi husika. Oni Sigalla ni ...