Droo ya fainali za Kombe la Dunia za kandanda za mwaka huu - katika taifa la Mashariki ya Kati la Qatar - itafanyika Ijumaa Aprili 1. Ni Kombe la Dunia lenye utata kuwahi kutokea, huku kukiwa na ...
Mashabiki waliojawa na furaha nchini Ufaransa na Argentina wanasubiri kwa hamu fainali ya Kombe la Dunia itakayochezwa huko Doha Qatar baadaye hii leo jioni. Tumu zote mbili zinatarajia ...
Maelezo ya picha, Formiga amecheza michuano saba ya kombe la dunia, rekodi kwa wanawake na wanaume. 23 Julai 2023 Ingawa michuano hii kwa wanawake ilianza hivi majuzi - kwa mara ya kwanza ...
Safari ndefu ya Afrika kuelekea Kombe la Dunia mwaka 2022 itaamuliwa wakati nafasi zake tano nchini Qatar zitakapoamuliwa ndani ya siku tano zijazo. Mataifa kumi yanashiriki katika mechi za mchujo ...
"Shangwe za Kombe la Dunia tayari zinapitia mitaa ya Doha!" Hivi ndivyo Kamati kuu inayoratibu michuano Qatar, wiki moja kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia, lililopangwa kufanyika Novemba 20.
Matarajio ya Kombe la Dunia kufanyika nchini Saudi Arabia yamekuwepo kwa muda mrefu, kutokana na uwekezaji usio na kifani wa nchi hiyo katika michezo ndani ya miaka ya hivi karibuni. Jinsi nchi ...
Michuano ya Kombe la Dunia ya FIFA ya 2022 itakuwa ya 22 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1930. Itakua ya mwisho kushirikisha timu 32 kutafuta bingwa wa dunia kwa mataifa wanachama wa FIFA.
Maelezo ya video, Tazama mabao matatu ya Mbappe katika Kombe la Dunia la 2018 23 Novemba 2022 Tazama mabao matatu aliyofunga Kylian Mbappe na kutangazwa kuwa Mchezaji Bora Chipukizi wakati ...
Michuano ya Afrika ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la Fifa 2026 itaanza tarehe 15 Novemba, huku bara hilo likitarajiwa kutuma idadi kubwa ya mataifa kwenye maonyesho mapya ya kimataifa ya soka ...
Kombe la mataifa ya bara Afrika litachezwa nchini Ivory Coast 2024 na sio 2023, Rais wa shirikisho la soka barani Afrika {Caf} Patrice Motsepe alisema siku ya Jumapili. Michuano hiyo ilitarajiwa ...