Kufikia sasa, watu 61 wamekamatwa baada ya kifo cha msanii huyo, huku kidole cha lawama kikielekezwa kwa wanachama wa kundi la vuguvugu la Movement for the Self-Determination of Kabylie (MAK).
Chanzo cha picha, Getty Images Mwanamuziki huyo ni mmoja wa wasanii mashuhuri na wanaotambulika katika historia ya muziki, na vibao vikiwemo No Woman No Cry, One Love, na Redemption Song.