News

Ni katika nyakati kama hizo za ugumu wa kiuchumi na kutokuwa na uhakika wa kifedha ambapo walaghai huwavutia watu kuingia kwenye mipango ya "kutajirika kwa haraka", kutoa njia ya kupata pesa kwa ...
Maelezo ya sauti, Beisikeli inayotumika kama Ambulensi kufikia wagonjwa haraka 25 Machi 2022 Wahudumu wa afya huko Cardiff wameanza kutumia baiskeli kuwafikia wagonjwa au majeruhi kwa haraka.