News

Wengi tunajua kuwa kitunguu saumu ni mojawapo ya viungo ambavyo mara nyingi hutumika kuongeza ladha na harufu nzuri katika chakula, lakini hatujui kwa undani faida zilizopo katika kitunguu hicho.
Na kuna vidokezo kwamba vijidudu hivi 'microbiota' au fangasi na bakteria na vingine vidovidogo vinavyopatikana tumboni vinaweza kuathiri ujuzi wa utambuzi kwa ukubwa zaidi, pia. Inajulikana kuwa ...
Kwa mujibu wa wataalamu, miguu yetu inajumuisha aina nyingi za bakteria na fangasi. Walakini kwa sababu nyayo za miguu yako zimejaa vijidudu, hiyo haimaanishi kwamba lazima iwe na harufu au kwamba ...