Ni picha ya nyani wawili wenye pua mchongoko wakiwa juu ya mawe wakiwa wanaangalia kitu kwa mbali kwa umakini mkubwa. Ni kitu gani hicho wanachokiangalia, na wanafikra gani vichwani mwao?